• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Saturday, June 30, 2012

    10:48:00 AM
    Dogo Janja "Siko Tayari Kurudi Tip Top" Si unafahamu kwamba Dogo Janja alirudi kwao Arusha baada ya kujiondoa TIP ...
    10:45:00 AM
    Alpha Awaponda Wadhamini Wa Tusker Project Fame Wakati mashindano ya Tusker Project Fame yakiendelea jijini Nairobi, Kenya, mshi...

    Friday, June 29, 2012

    11:18:00 AM
    TANZANIA SOCIAL NEWS:TAMKO FUPI LA JUMUIYA YA MADAKTARI KWA WAANDISHI WA HABARI KAMATI YA JUMUIYA YA MADAKTARI TANZANIA YAH: TAMKO FUPI LA ...

    Thursday, June 28, 2012

    Wednesday, June 27, 2012

    Wema Sepetu aanza maandalizi ya kuolewa! Wema “Walisema haolewi,mbona sasa kaolewa,” sauti hizo zitasikika hivi karibuni na kufuatiwa na shangwe na nderemo za kimbea kutoka kwa wanawake ambazo whether you like it or not you will have to put up with that because soon Wema is getting married! Jana muigizaji wa the most anticipated movie of this year (Superstar), Wema Sepetu ameweka wazi mipango yake ya kufikiria kufunga pingu za maisha na ampendaye na sasa anafikiria shela gani atavaa siku hiyo! “Thinking about My wedding Dress!!,” alitweet na kusababisha lundo la maswali kutokana kwa watu waliotaka kujua ukweli wa hicho alichokiandika. “Movie or a wedding dress 4 real?” aliuliza msichana aitwaye Candy na Wema akajibu,” You don’t believe ama? Hhehehhe.” Mwingine akauliza, “yu getting married soon???” na Wema akamjibu, “thinking about that.” Namna Wema alivyoendelea kusisitiza ukweli wa kile anachokisema ndivyo maswali yakazidi kuongezeka kiasi cha kuligusa gazeti la Baabkubwa lililomuuliza, “Who’s the lucky guy??????,” ingawa Wema alilikwepa swali hilo, “ahhahaha Umbea!” Wapo waliomwambia kuwa ni mapema mno kwa yeye kufanya hivyo lakini alisisitiza kuwa hawezi kungojea wakati umri unazidi kwenda. “Sio vizuri wewe utamuua kwa presha mama wa watu,” alipewa onyo na huku yeye akijibu, “why? she always wanna see me Happy! why afe sasa?” Mwisho kuashiria kuwa mlimbwende huyu tayari ameshalikabidhi pendo lake kwa mtu ambaye bado hatujamfamu ni nani alimalizia kwa kutweet, “Natamani kusikia sauti Yake! wallahi tena.” Kila lakheri Wema lakini usisahau kadi moja ya Bongo5 tushuhudie namna mtakavyoexchange vows na Mr. Lucky guy! Kupitia mitandao ya kijamii husasan Twitter, mastaa wengi duniani wamekuwa wakifunguka waliyonayo moyoni hata yale mazito kabisa. Miongoni mwa yale wanayoyasema yapo ambayo huwa kweli na mengine huandikwa kuwazingua tu mashabiki. Kuna wakati Drake na Nicki Minaj waliwahi kuwazingua mafans wao kuwa wamefunga ndoa na wapo walioamini hivyo. So perhaps Wema is telling the truth, we will see about that.

    7:00:00 PM
    Wema “Walisema haolewi,mbona sasa kaolewa,” sauti hizo zitasikika hivi karibuni na kufuatiwa na shangwe na nderemo za ki...

    Tuesday, June 26, 2012

    Mwana FA atangaza Vita na Wezi “Next time nikikuta watu wanapiga mwizi na mtu akanizuia nisishiriki ntaanza na yeye kwanza” ni tweet ya jana ya Hamisi Mwinjuma aka MwanaFA iliyokuwa imeambatanishwa na picha ya gari lake lenye namba T 809 PMB ikiwa imenyofolewa taa zote za mbele na nyuma. Wizi huo umefanyika usiku wa kuamkia jana na inavyoekena ni kuwa wezi walipanda na kuvuka geti kimya kimya, kwa raha zao wakanyofoa taa na kuingia ndani kuchukua radio. Ile MwanaFA kuamka asubuhi ndo akakuta tayari wajanja wameshamliza kiasi cha kuamua kutangaza vita na wezi. Hivyo kama ukikuta MwanaFA anashiriki kumponda ‘vitofa’ mwizi aliyekamatwa street baada ya kuiba, kamwe usishangae, usimuulize na usimzuie sababu ataanza na wewe! Pole sana Binamu! Hata hivyo wezi hao hawaikuiharibu ratiba ya usiku wa kuamkia leo ya Binamu. Ratiba yake ilianzia pale the so-called ‘Uwanja wa taifa wa burudani’ Dar Live ambapo aliperform ngoma yake mpya Ameen kwa mara ya kwanza. Baada ya Dar Live show ikahamia Maisha Club, “Dar Live Done..Beautiful..Maishani Sasa Kwa Ndege Mnana,” alitweet. Huko New Maisha Club alienda kumpa support mwanadada Linah Sanga aliyekuwa akifanya show yake ya kwanza tangu arudi kutoka kwenye ziara ndefu ya nchini Marekani. “What a show..Maisha I Loooooooooved you tonite!” aliandika alfajiri hii.

    5:43:00 PM
    Mwana FA atangaza Vita na Wezi “Next time nikikuta watu wanapiga mwizi na mtu akanizuia nisishiriki ntaanza na...
    3500K