• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, June 29, 2012

    SERIKALI YASITISHA KUTOA TAMKO JUU YA MADAKTARI LEO





    Waziri Mkuu Mizengo Pinda
     Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametangaza kusitisha Serikali kutoa tamko lake  kuhusu mgomo wa madaktari, ambao ulitakiwa kutolewa leo kama alivyoahidi jana Bungeni.


    Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Waziri Mkuu, Pinda, alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na Mkuu wa Kambi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe, aliyetaka kujua Serikali ina mipango gani ya dharula ya kuumaliza mgomo huo. 


    Alisema kwa hivi sasa, Serikali imechukua dharura, kwa kuwaita madaktari wastaafu kwenda kwenye baadhi ya Hospitali za Serikali  kushika nafasi maeneo ambayo madaktari waliogoma. 

    Vilevile Serikali imewataka wananchi waende kuhudumiwa kwenye hospitali za Jeshi, ikiwemo Lugalo. 



    Kuhusu Dkt Stephen Ulimboka, Mhe. Pinda ameseama

    No comments:

    3500K