- Allan Chonjo Brand Manager wa Serengeti ambao ndo wa zamini wakuu wa Fiesta
- Allan,Sebastian,Benja
- Baadhi ya wasanii nao walikuwepo Mwasiti,Madee,Amini na rafiki yao
- Hapa mdada alikuwa anakula mmhh!!
- haya ndo magari ambayo yatashindaniwa
- hayo ndo magari pamoja na pikipiki yatakayo shindaniwa
- Linex alikuwa katulia anafuatilia
- Millard na Barbra ndo walikuwa wakiongoza uzinduzi huo wa Fiesta 2012
- mmhh!!kazi kwenu wa shiriki
- Mr,Rugabo kampeni meneja wa Push Mobile akiwa na Barbra Hasan akionyesha jinsi ya kushiriki na ushinde haya magari na pikipiki
- Mr.Rugabo,Allan,Sebastian,Mr.Benja wa gapco
- Nice poz wadada
- Ruben Ndege nae alikuwepo
- Sebastian Maganga Meneja wa vipindi Clouds Akieleza Fiesta itakavyo kuwa
- Shafih Dauda na Sade wakifuatilia
- Ulikuwa ukifika tu mlangoni unatutana na hawa warembo
- walipendeza
No comments:
Post a Comment