Wema |
“Walisema haolewi,mbona sasa kaolewa,” sauti hizo zitasikika hivi karibuni na kufuatiwa na shangwe na nderemo za kimbea kutoka kwa wanawake ambazo whether you like it or not you will have to put up with that because soon Wema is getting married!
Jana muigizaji wa the most anticipated movie of
this year (Superstar), Wema Sepetu ameweka wazi mipango yake ya
kufikiria kufunga pingu za maisha na ampendaye na sasa anafikiria shela
gani atavaa siku hiyo!
“Thinking about My wedding Dress!!,” alitweet
na kusababisha lundo la maswali kutokana kwa watu waliotaka kujua ukweli
wa hicho alichokiandika.
“Movie or a wedding dress 4 real?” aliuliza msichana aitwaye Candy na Wema akajibu,” You don’t believe ama? Hhehehhe.”
Mwingine akauliza, “yu getting married soon???” na Wema akamjibu, “thinking about that.”
Namna Wema alivyoendelea kusisitiza ukweli wa
kile anachokisema ndivyo maswali yakazidi kuongezeka kiasi cha kuligusa
gazeti la Baabkubwa lililomuuliza, “Who’s the lucky guy??????,” ingawa
Wema alilikwepa swali hilo, “ahhahaha Umbea!”
Wapo waliomwambia kuwa ni mapema mno kwa yeye kufanya hivyo lakini alisisitiza kuwa hawezi kungojea wakati umri unazidi kwenda.
“Sio vizuri wewe utamuua kwa presha mama wa
watu,” alipewa onyo na huku yeye akijibu, “why? she always wanna see me
Happy! why afe sasa?”
Mwisho kuashiria kuwa mlimbwende huyu tayari
ameshalikabidhi pendo lake kwa mtu ambaye bado hatujamfamu ni nani
alimalizia kwa kutweet, “Natamani kusikia sauti Yake! wallahi tena.”
Kila lakheri Wema lakini usisahau kadi moja ya Bongo5 tushuhudie namna mtakavyoexchange vows na Mr. Lucky guy!
Kupitia
mitandao ya kijamii husasan Twitter, mastaa wengi duniani wamekuwa
wakifunguka waliyonayo moyoni hata yale mazito kabisa.
Miongoni mwa yale wanayoyasema yapo ambayo huwa kweli na mengine huandikwa kuwazingua tu mashabiki.
Kuna wakati Drake na Nicki Minaj waliwahi kuwazingua mafans wao kuwa wamefunga ndoa na wapo walioamini hivyo.
So perhaps Wema is telling the truth, we will see about that.
No comments:
Post a Comment