KARIBU PICK N'PAY SHOP MUSOMA

KARIBU PICK N'PAY SHOP MUSOMA
KWA VINYWAJI VYOTE

Friday, September 23, 2016

IRENE UWOYA: MAPEDESHEE SIKU HIZI HAWATOI PESA


MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii uipendayo ya 10 Question? Kama kawa, kama dawa wiki hii tunaye mwanamama ambaye bado ni mrembo, Irene Uwoya ‘Mama Krish’. Naye yuko hapa kujibu maswali mbalimbali ambayo amembana nayo na yeye akaonesha ushirikiano katika kuyajibu. Je, una shauku ya kujua ni maswali gani aliyobananishwa nayo na akajibu vipi? ‘Intaviu’ hii hapa chini inakuhusu… Ijumaa: Hivi ni ipi siri ya wewe kuonekana mrembo siku zote? Uwoya: Cha kwanza mimi najipenda sana, kingine napenda kutumia vitu kwenye ngozi yangu ambavyo havina madhara na nakula matunda sana

Saturday, September 10, 2016

TAZAMA “LIVE” MECHI YA MANCHESTER UNITED VS MAN CITY HAPA.


TAZAMA KWA KUBONYEZA HAPA https://www.ok.ru/video/1199382114

CHADEMA KUFUNGUA KESI KUOMBA MAHAKAMA KUU KUAMURU JESHI LA POLISI KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WAFUASI WAKE WANAOSHIKILIWA KATIKA VITUO MBALIMBALI


* Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho Kinondoni Dar es Salaam leo mchana, wakati akitoa madai ya kushikiliwa kwa wafuasi wa chama hicho zaidi ya 70 wasiofahamika na wengine 10 katika vituo mbalimbali vya polisi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kujihusisha na masuala ya Umoja wa Kupinga Udikiteta (Ukuta), bila ya kufikishwa mahakamani. Kushoto ni Ofisa Habari wa chama hicho, Tumaini Makene.*

KAMPUNI YA MIKAELA PROFESSIONAL TAILORS KULITAMBULISHA JIJI LA MWANZA KWENYE UBUNIFU WA MAVAZI


*Ofisi za Mikaela Professional Tailors zinapatikana Ghana Green View, barabara ya Airpot Jijini Mwanza. Wapigie kwa nambari 0767 68 28 88 ili wakuhudumie kwa wakati na kwa ubora.* *Tofauti na ilivyo katika majiji mengine nchini kama vile Jijini Dar es salaam, Jiji la Mwanza halina mwamko mkubwa katika ubunifu wa mavazi.* *Ni kutokana na hali hiyo, Wataalamu na Mabingwa wa Ushonaji wa mavazi ya aina mbalimbali (Kike na Kiume) Jijini Mwanza, Mikalela Professional Tailors, wameahidi kulitambulisha Jiji hilo katika ubunifu wa mavazi ili kuendana na kasi iliyopo katika majiji mengine.

MKUU WA MKOA WA MWANZA AKABIDHI VYAKULA KWA NIABA YA RAIS MAGUFULI KWENYE KITUO CHA WAZEE BUKUMBI KWA AJILI YA IDD EL HAJJ.


*Katika kusherehekea Sikukuu ya Idd El Hajj siku ya Jumatatu Septemba 12, 2016, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, ametoa msaada wa vyakula wenye thamani ya shilingi laki saba na elfu themanini (780,000), kwa ajili ya Kituo cha kulelea Wazee na Walemavu wasiojiweza cha Bukumbi Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.* *Akikabidhi msaada huo jana, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, aliuhimiza uongozi wa kituo hicho kusimamia vyema ugawaji wa vyakula hivyo li kuwafikia walengwa,

Friday, September 9, 2016

Babyboy-mApozy-DADY-WHERE-YOU-ARE


Harmonize na Wopler, wanaishi kama familia waendelea na shopping pamoja


Wapenzi wawili Harmonize pamoja na Jacqueline Wolper wanaendelea kuuonyesha umma jinsi wanavyopendana. [image: 4k0a2146x] Wawili hao Alhamisi hii walienda shopping pamoja na kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali katika Mall moja hapa jijini Dar es salaam. Hivi karibuni mwigizaji huyo alipost picha akiwa jikoni huku akiandaa chakula kwa ajili ya muimbaji huyo wa wimbo Matatizo. [image: cds] *Harmonize akimkabidhi maharage Wopler* Hali hiyo imezua tetesi katika mitandao ya kijamii kuwa huwenda wawili hao wakawa wanaishi pamoja.

Thursday, September 8, 2016

Irene Uwoya, Bhoke Wambura wamgombania Chid Benz!


TEMA nyongo! Ndivyo unavyoweza kusema. Mrembo ambaye hivi karibuni jina lake limeanza kutamba kwenye mitandao ya kijamii pia ni mtangazaji wa redio ya Jembe ni Jembe, Bhoke Wambura, amemtolea uvivu mwigizaji Irene Uwoya akidai amuachie mpenzi wake ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’. Bhoke alifunguka hayo hivi karibuni alipokuwa akifanya mahojiano na gazeti hili na kubainisha kuwa anaumia kuona Uwoya anaingia kwenye anga zake wakati watu wa karibu na Chid wanamsema yeye kuwa aachane na Chid kwani anamrudisha kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akagua makazi yake mapya Dodoma


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu katika eneo la Mlimwa na kuagiza umalizike kwa wakati ili aweze kuhamia kama alivyoahidi. Katika ziara hiyo aliyoifanya jana mchana (Jumatano, Septemba 7, 2016) Waziri Mkuu alisema ameridhishwa na namna kazi ya ujenzi inavyofanyika. *“Nimekuja kukagua makazi mapya na mahali pa kufanyia kazi. Kazi ya ujenzi inaendelea vizuri, nimejionea mwenyewe na naamini katika kipindi kifupi watakuwa wamekamilisha,”* alisema. Alisema kutokamilika kwa ujenzi huo hauwezi kukwamisha azma yake ya kuhamia Dodoma

Wednesday, September 7, 2016

NEW AUDIO -ROJA LEE -NYASHO MOKO HADI R CHUGA

KUTOKA ARUSHA TRACK MPYA YA ROJA LEE NYASHO MOKO--DOWNLOAD HAPA CHINI

NAY: MIMI NA SHAMSA PENZI KAMA KAWA ...LICHA YA KUOLEWA…


MAKUBWA! Licha ya hivi karibuni staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford kufunga ndoa na mfanyabiashara maarufu Bongo, Rashid Said ‘Chid Mapenzi’, aliyekuwa mpenzi wa mwanadada huyo Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameibuka na kusema bado penzi lake na mrembo huyo litaendelea kama kawa, Risasi Mchanganyiko linakuwa la kwanza kukudondoshea. ALIANZA KWA KUKACHA HARUSI Katika harusi ya Shamsa iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita msanii huyo hakuhudhuria kabisa jambo ambalo lilisababisha gumzo kwa baadhi ya waalikwa wakiwemo wasanii wakidai kwamba ameogopa na kuona aibu

Pesa Zinawatia Uchizi Wadada hawa,


DANI ya tasnia ya burudani Bongo, kwa sasa imevamiwa na wingi wa wasanii, wauza sura na wanamitindo wapya ambao wamejipatia umaarufu ndani ya muda mfupi hasa kutokana na kukua kwa kasi kwa mitandao ya kijamii. Wakiitumia mitandao hiyo kujitangaza, wamekuwa hawalali kwani ‘njaa’ yao kubwa ni mkwanja, tofauti na wadada wa kipindi cha nyuma ambao walitaka sana umaarufu, huku pesa ikiwa ni chaguo namba mbili. Wafuatao ni baadhi ya wanadada ‘hot’ wanaokutana kupitia kazi mbalimbali za sanaa ambao pesa zinawatoa akili na wako tayari kufanya lolote lile ili kupiga mkwanja

Hongera Shamsa, ila ustaa uishie mlangoni‘ACTION…camera roll’ ndiyo maneno ambayo wasanii huyatumia mara kwa mara wanapokuwa lokesheni, eneo ambalo wanalitumia kurekodi kipande fulani cha sinema zao. Huwa wanayatamka maneno hayo ili waweze kuuvaa uhusika wa kifi lamu. Yaani kama anatakiwa kuonekana analia, msanii ajitoe ufahamu kwa muda ili aonekane analia mbele ya kamera. Mathalani, anaweza kuvaa uhusika wa tabia za mlinzi wakati yeye si mlinzi. Kwa tafsiri rahisi ni kwamba anachokifanya pindi anapoambiwa maneno hayo huwa si uhalisia. Anakuwa anaigiza. Anavaa uhusika wa jambo fulani baadaye anarudi kwenye hali yake ya KAWAIDA