EXCLUSIVE ANGALIA HAPA PICHA ZA : UZINDUZI FIESTA 2012 filex 3:01:00 PM Allan Chonjo Brand Manager wa Serengeti ambao ndo wa zamini wakuu wa Fiesta Allan,Sebastian,Benja ... Read more No comments:
TANZANIA SOCIAL NEWS:TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UKATILI,UNYAMA NA VITENDO VYA KUTWEZA ALIVYOFANYIWA MTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU DKT. ULIMBOKA STEVEN filex 1:52:00 PM Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Mtandao Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania(THRD- Coalition) ... Read more No comments:
SERIKALI YASITISHA KUTOA TAMKO JUU YA MADAKTARI LEO filex 1:50:00 PM Waziri Mkuu Mizengo Pinda Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametangaza kusitisha Serikali kutoa tamko lake kuhusu mgomo wa ma... Read more No comments:
Download Picasa 3.8 Build 117.16 - FileHippo.com filex 12:32:00 PMDownload Picasa 3.8 Build 117.16 - FileHippo.com Read more No comments:
filex 11:18:00 AMTANZANIA SOCIAL NEWS:TAMKO FUPI LA JUMUIYA YA MADAKTARI KWA WAANDISHI WA HABARI KAMATI YA JUMUIYA YA MADAKTARI TANZANIA YAH: TAMKO FUPI LA ... Read more No comments:
Bilioni 300 zilizofichwa na vigogo Uswisi zatikisa nchi filex 8:53:00 AM ZITTO AMTAKA PINDA ATAJE WAHUSIKA, WANANCHI WATAKA FEDHA ZIREJESHWE, MABILIONI ZAIDI YAIBWA MTANDAONI Kubainika kwa Sh303.7... Read more 2 comments:
WASIFU 360: R. KELLY NA WIMBO WA SIGN OF A VICTORY filex 8:44:00 AM Robert Sylvester Kelly (amezaliwa tar. 8 Januari , 1967 ) ni mwimbaji wa muziki wa R&B na soul -mtunzi wa nyimbo, rapa , na m... Read more No comments:
TANZANIA POLITICAL NEWS: SAKATA LA DK. ULIMBOKA, CHADEMA WALAANI filex 8:39:00 AM C HAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), kimelaani kukamatwa na kushambuliwa kwa viongozi wa madaktari ik... Read more No comments:
NEW HIT: Belle 9 ft. Ben Pol - ANAYEISHI NAE filex 8:23:00 AM ARTISTS BELLE 9 FT BEN POL SONG ANAYEISHI NAE PRODUCER MONA GANGSTAR STUDIO ... Read more No comments:
NEW TRACK: Kicheche - Sav clan (Shirko & Amoury beyby)Ft. Aslay & Temba filex 8:19:00 AM Tumeiachia rasmi hii track ambayo video yake itatoka wiki ijayo. Ilifaywa ndani ya Poteza records ikishirikiana na Vibe records Kwa ... Read more No comments:
JK KUWA REFA PAMBANO LA WABUNGE SIMBA VS YANGA filex 7:40:00 PM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, anatarajiwa kuwa refa wa mchezo wa soka kati ya wabunge mashabik... Read more No comments:
Bwana Misosi ft. Migigi One - Nakungoja {Official Video} by Filex Mmari filex 7:21:00 PMNyimbo mpya ya Bwana misosi ft Migigi One, Download hapa if u want watch this video click on video Read more No comments:
Wajue- Tanzania Youngest Celebrities filex 7:16:00 PMthe filex mmari<br> the filex mmari video Read more No comments:
Wema Sepetu aanza maandalizi ya kuolewa! Wema “Walisema haolewi,mbona sasa kaolewa,” sauti hizo zitasikika hivi karibuni na kufuatiwa na shangwe na nderemo za kimbea kutoka kwa wanawake ambazo whether you like it or not you will have to put up with that because soon Wema is getting married! Jana muigizaji wa the most anticipated movie of this year (Superstar), Wema Sepetu ameweka wazi mipango yake ya kufikiria kufunga pingu za maisha na ampendaye na sasa anafikiria shela gani atavaa siku hiyo! “Thinking about My wedding Dress!!,” alitweet na kusababisha lundo la maswali kutokana kwa watu waliotaka kujua ukweli wa hicho alichokiandika. “Movie or a wedding dress 4 real?” aliuliza msichana aitwaye Candy na Wema akajibu,” You don’t believe ama? Hhehehhe.” Mwingine akauliza, “yu getting married soon???” na Wema akamjibu, “thinking about that.” Namna Wema alivyoendelea kusisitiza ukweli wa kile anachokisema ndivyo maswali yakazidi kuongezeka kiasi cha kuligusa gazeti la Baabkubwa lililomuuliza, “Who’s the lucky guy??????,” ingawa Wema alilikwepa swali hilo, “ahhahaha Umbea!” Wapo waliomwambia kuwa ni mapema mno kwa yeye kufanya hivyo lakini alisisitiza kuwa hawezi kungojea wakati umri unazidi kwenda. “Sio vizuri wewe utamuua kwa presha mama wa watu,” alipewa onyo na huku yeye akijibu, “why? she always wanna see me Happy! why afe sasa?” Mwisho kuashiria kuwa mlimbwende huyu tayari ameshalikabidhi pendo lake kwa mtu ambaye bado hatujamfamu ni nani alimalizia kwa kutweet, “Natamani kusikia sauti Yake! wallahi tena.” Kila lakheri Wema lakini usisahau kadi moja ya Bongo5 tushuhudie namna mtakavyoexchange vows na Mr. Lucky guy! Kupitia mitandao ya kijamii husasan Twitter, mastaa wengi duniani wamekuwa wakifunguka waliyonayo moyoni hata yale mazito kabisa. Miongoni mwa yale wanayoyasema yapo ambayo huwa kweli na mengine huandikwa kuwazingua tu mashabiki. Kuna wakati Drake na Nicki Minaj waliwahi kuwazingua mafans wao kuwa wamefunga ndoa na wapo walioamini hivyo. So perhaps Wema is telling the truth, we will see about that. filex 7:00:00 PM Wema “Walisema haolewi,mbona sasa kaolewa,” sauti hizo zitasikika hivi karibuni na kufuatiwa na shangwe na nderemo za ki... Read more No comments:
MGOMO WA MADAKTARI: DR. ULIMBOKA ATEKWA,KUPIGWA NA KUJERUHIWA VIBAYA SANA!! filex 6:51:00 PM Pichani ni Dokta Steven Ulimboka kama anavyoonekana baada ya kuokotwa leo maeneo ya Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es ... Read more No comments:
Ommy D afungukia ishu ya kujiunga Freemason filex 5:50:00 PM NI wiki ya Ommy Dimpoz, mwanamuziki ambaye jina lake kamili ni Omary Faraji Nyembo. Naye anajibu na kufafanua juu ya yale ambay... Read more No comments:
Mavazi na Bongo Flava-Kwani ni Lazima kutepesha Suruali ? filex 5:50:00 PM Msanii Akiwa anaimba huku Suruali ikiwa chini ya Makalio Diamond n... Read more No comments:
Dogo Janja akifanya shopping filex 5:45:00 PMvideo ya dogo janja akifanya shopping Read more No comments: