LISA NDIYE MISS TANZANIA 2012 filex 2:42:00 PM Lisa katikati akiwa na wenzake KIMWANA Lisa Jensen usiku huu ameibuka kinara katika shindano maalum la kumsaka mwa... Read more No comments:
Master J: Studio zimekua nyingi kama Salon, Muziki haulipi filex 2:37:00 PM Producer mkongwe na mmiliki wa studio ya Mj Records Joakim Kimaryo aka Master J, amesema studio za muziki zimekuwa nyingi mno... Read more No comments:
Tusker Project Fame Yashutumiwa Kukosa Mvuto-Mshiriki wa Tanzania Atolewa filex 2:12:00 PM Jana mshiriki mwingine kutoka Tanzania, Imani, 30, alitolewa kwenye shindano la Tusker Project Fame na kuungana na mshiriki wa S... Read more No comments:
DOGO JANJA AFIKA NYUMBANI ARUSHA SALAMA...AKUTANA NA WASANII WENZAKE filex 2:08:00 PM Dogo Janja, JCB & Nigga C wakiwa kwenye furaha baada ya kumkaribisha Dogo Janja home Arusha, Read more No comments:
Uzinduzi Wa video Ya Tom Boy. filex 2:06:00 PM Siku ya 17 ya mwezi wa 6 mwaka 2012 itakuwa ni masoniq day kulingana na calendar zinavyoonyesha, siku ambayo ina historia kubwa... Read more No comments:
FURSA YA WASANII KUJIFUNZA JINSI YA KUANDAA SCRIPT MAKINI KATIKA FILAMU filex 2:02:00 PM Ndugu mdau wa Sanaa, Wadau wa Sanaa wanataalifiwa kuwa Gaba Art Centre wataendesha warsha ya masaa mawili kuhusu Stadi z... Read more No comments:
HILI FUMANIZI LA MWANAMAMA HUYU,NAHISI LITAKUWA FUNDISHO HATA KWA NDOA NYINGINE! filex 8:39:00 AM Fumanizi hili limetokea hivi karibuni huko Kunduchi Mtongani jijini Dar. Picha na globalpublishers. Read more No comments:
AFANDE SELE: MI NAJUA NEY WA MITEGO NI JINA LA MUIGIZAJI WA KIKE! filex 8:36:00 AM Mkali wa ryhmes kutoka Mji kasoro bahari amefunguka na kutoa neno juu ya ngoma ya msanii Ney wa Mitego kutoka Manzese huku akitoa... Read more No comments:
WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA IFM 2012/2013 filex 8:37:00 PM FILEX MMARI NEWZ Selected applicants for various Basic Certificate and Ordinary Diploma Courses for the 2012... Read more No comments:
AT Asifia Wimbo Mpya wa Offside Trick filex 8:10:00 PM Tunafahamu kwamba AT ana beef na kundi la OFFSIDE TRICK ambalo siku kadhaa zilizopita member wake Muda alitangaza kujitoa ili k... Read more No comments:
Ommy Dimpoz Nyimbo Mbili , Shows Kibao Kuna watu huwa wanazaliwa na zali tu! Hivi unajua kuwa wasanii wakali tu wapo hapa Bongo wana nyimbo zaidi ya kumi lakini inaweza ikapita hata miaka miwili hajapata show hata moja? Wapo wengi tu mjini. Kwake Ommy Dimpoz na wasanii wengine wacheche wenye bahati kama yeye ni tofauti. Tangu atoe NaiNai aliyomshirikisha Ali Kiba kijana amekuwa akipiga show kama hana akili nzuri. Ni bahati ama uwezo? Kwetu sisi tunaamini kuwa bahati ni sehemu ndogo tu ya mafanikio ya mchizi huyu. Jamaa ana charisma (kupendwa na watu) kali sana kutokana na jinsi alivyo. Ni mtu wa kujichanganya sana na kama ujuavyo watu wa aina hii hufanikiwa mapema. Ommy kama alivyo Diamond ana kitu fulani hivi ambacho ni kigumu kukieleza kwa undani kinachomfanya awe kibiashara zaidi. Tangu atoe Baadaye jamaa amekuwa ni mtu wa show mwanzo mwisho! “Frm Iringa to Dom still chasing paper,” ametweet leo(June 16). Cha kufurahisha ni kuwa wakati alienda Iringa aliambatana na Mpoki and guess whaat! “Drivin privately to iringa with Mpoki nilisahau kuchukua mbavu za spea dah ht chai bado nishacheka mara 760,’ aliandika jana. Mfano huo wa Ommy unadhihirisha kuwa siku msanii hahitaji kuwa na lundo la nyimbo ilia pate show bali kuwa na hits chache tu. Keep on chasing the paper bro lakini usijisahau ukapotea kama Sam wa Ukweli ambaye alibahatisha na ‘Sina Raha’ na sasa hivi Mungu ndo anajua kama atarudi ama ndo kwisha habari yake. Tunayo ya kuongea kuhusiana naye kwa kirefu next tym. filex 8:09:00 PM Ommy Dimpoz Nyimbo Mbili , Shows Kibao Kuna watu huwa wanazaliwa na zali tu! Hivi unajua kuwa wasanii wakali tu wapo hapa Bongo... Read more No comments:
AFRICA NEWS: WAMISRI WANAPIGA KURA LEO filex 7:16:00 PM Wamisri wameanza kupiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa nchi hiyo kati ya mgombea anayefuata siasa zinazoegemea ... Read more No comments:
Shule iliyoko Eneo la NJIRO ndiyo Sekondari iliyodorora Kielimu Mkoani Arush filex 2:09:00 PM a Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Naura, Ndugu Sunday G. Mshobozi ambaye pia ndiye mwalimu pekee w... Read more No comments:
Picha Za Birthday ya Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ Jana filex 2:03:00 PM Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ambapo alisher... Read more No comments:
KIJANA JACKSON THOBIAS a.k.a KUSH AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA TRENI: filex 2:01:00 PM Kijana mdogo wa miaka 17, Jackson Thobias, aliyekuwa akisoma kidato cha nne katika shule ya ESACS Academy, amefariki baada ya kugon... Read more No comments:
GLOBAL NEWS: SIKU YA MTOTO WA AFRICA JUNI 16 filex 1:56:00 PM Mauaji ya Soweto hujulikana kama Juni 16 yaliyotokea nchini Afrika Kusini, Asubuhi ya Juni 16, 1976 wanafunzi wa Shule waliingia mitaani... Read more No comments:
TANZANIA FOOTBALL NEWS: UCHAGUZI WA VIONGOZI WA YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB (YANGA) KUJAZA NAFASI ZILIZO WAZI filex 1:55:00 PM K amati ya Uchaguzi ya TFF inawataarifu wadau na wapenzi wa soka kuwa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa ... Read more No comments:
HABARI KUTOKA MBEYA : MAUAJI MBEYA YAFIKIA 600 KWA 2011 filex 1:54:00 PM Imeelezwa kuwa zaidi ya watu 600 waliuawa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira kali walioamua kujichukulia sheria mkononi katik... Read more No comments:
AFRICA NEWS: WAMISRI WANAPIGA KURA LEO filex 1:53:00 PM Wamisri wameanza kupiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa nchi hiyo kati ya mgombea anayefuata siasa zinazoegemea dini y... Read more No comments:
TANZANIA SOCIO-ECONOMIC NEWS: SIMU YA KUFUKUZA MBU YAINGIA filex 1:52:00 PM TEKNOLOJIA ya kutumia simu kufukuza mbu nyakati za usiku imeingia nchini.Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Gerald Simbo al... Read more No comments: