• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, June 17, 2012

    AFANDE SELE: MI NAJUA NEY WA MITEGO NI JINA LA MUIGIZAJI WA KIKE!


    Mkali wa ryhmes kutoka Mji kasoro bahari amefunguka na kutoa neno juu ya ngoma ya msanii Ney wa Mitego kutoka Manzese huku akitoa maneno ya kashfa kwa msanii huyo. Akiongea na mtandao wa teentz mkali huyo alisema kuwa hamjui Ney kama ni msanii wa muziki bali analisikia jina hilo kama ni kati ya wasanii wa kike wa maigizo wa hapa Bongo huku akiendelea kudai kuwa hatambui kama kuna ngoma mpya ya HipHop ambayo imetoka hivi karibuni hapa Bongo na hajawahi kusikia ngoma yeyote inayomzungumzia Hivyo anashangaa kuona mtoto wa kike
    kumdisi yeye mtu wa hiphop ambaye hana mawasiliano na watu kama hao.

    No comments:

    3500K