• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, June 17, 2012

    Uzinduzi Wa video Ya Tom Boy.


    Siku ya 17 ya mwezi wa 6 mwaka 2012 itakuwa ni masoniq day kulingana na calendar zinavyoonyesha, siku ambayo ina historia kubwa na nyingi kidunia mbali na historia mpya itakayotengenezwa kwenye usiku wa kuzindua video mpya ya Christopher kweka, notorious wa bongo, mjukuu wa lucifa, p.g kweka known us Baghdad itwayo tom boy. Licha ya kuzindua album masoniq day ndio siku ambayo itatatua utata ama vuguvugu lililokuwa likiendelea chini kwa chini kuhusiana na maelewano mabaya baina ya mtoto wa ilala kiongozi wa kundi la lafamilia chid benz, na mtu mzima Baghdad kwa tetesi eti huwa wanatambianaga mara kwa maraa wanapokutana back stage. Kwa mara ya kwanza chidi benzi alikutana na Baghdad Azania sec school shule ambayo alikuwa anasoma Baghdad kwa kipindi hicho na chidi kukalishwa kwenye stage mpaka kupelekea benzino  kurudia nyimbo yake pendwa cha ngoma itambae akitegemea ingeweza kubadilisha matokeo lakini haikuwa kama mawazo yake ingawa ma fun wake waliamini ni kwa sababu Baghdad alikuwa nyumbani kwao! Kwa mara ya pili mfalme wa ilala alichukua point zake 3 mapema wakiwa ugenini wote wawili, ilikuwa ni kwenye tamasha la sauti za busara linalofanyikaga mara moja kwa mwaka visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania, takwim zinaonyesha kuwa chidi alimpa ofa Baghdad ya kuwa kwenye ile mechi akitoa dro ushindi wake. huku Baghdad akijitahidi kutaafuta hata droo ili ajitete ila matokeo yalikuwaa ni tatu bila! Sasa imepita zaidi ya miaka 3 tangu wakutane sauti za busara na kutarajiwa kukutana tena pande za maisha club kwenye siku ya uzinduzi wa video mpya ya Baghdad iitwayo tom boy. namnukuu chidi mimi ni msanii pekee nilifanya show nyingi pengine kuliko wasanii wenzangu kwa hivyo nina uzoefu mzuri wa stage kwa kuwa nimeshapanda hadi stage za magogo ya miti so siku ya uzinduzi wa video ya tom boy ya bwana mdogo Baghdad nitawaonyesha fun wangu pakavu nitakavyoteleza! Huku Baghdad akisema chidi ni msanii mzuri na nakiri kusema laity kama aisngekuwepo chidi kwenye ramani ya mziki baasi pengine Baghdad asingekuwa hapa alipofikia kwa sababu ukuaji wa mziki wa Baghdad umetokana na chidi benz kwa kuwa ni rol modo wake ingawa nisinukulike vibaya hata  mwalimu wa jakaya kikwete ambae amemfanya kuwa raisi pengine yeye hata ujumbe wa nyumba kumi hana. Sasa jibu litapatikana ndani ya maisha club tar 17 mwezi wa 6 juma pili hii ambapo kwa mara nyingine voice of the lady, kipenzi cha walimbwende, mwenye p.h.d ya malovidovie hemedy nae kukutana na mzee wa baadae sana ikiwa ni muda sasa umepita tangu waonane kwenye hatua za mwisho za kutengeneza video yake aliyofanya na raper mwenye flow makengeza toka b hit mabeste ambae anafanya vizuri na ngoma 2 zote akiwa na juzx baadae sana na sirudi tena. Huku msanii toka mundi la zamamni alilokuwa ailitumikia Baghdad mzee wa kunesanesa ndani, na show haitokwisha bila kumuona nurdin anaetamba na rec yake ya kitolondo. Ni kwa kiingilio cha 7000 ndani ya maisha club. Usikose kuja kupata jibu la nani mkali wa stage, na video mpya ya mjukuu wa lucifa. 

    No comments:

    3500K