LIGUE I PRE-SEASON NEWS: LYON WAITANDIKA MONTEPELLIER OLYMPIQUE LYON imeitandika kwa penati Montepellier na kuchukua Trophee des Champions kwa penati 4-2 baada ya kumaliza kwa sare ya 2-2. Mechi hiyo imechezwa katika uwanja wa Red Bull Arena , katika Jimbo la New Jersey nchini Marekani. John Utaka alikuwa wa Kwanza kuipatia bao timu yake ya Lyon katika dakika ya 27, muda mchache tu kabla ya mapumziko B
filex
6:51:00 PM
LIGUE I PRE-SEASON NEWS: LYON WAITANDIKA MONTEPELLIER OLYMPIQUE LYON imeitandika kwa penati Montepellier na kuchukua Trophee des...