• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, July 23, 2012

    ASIA NEWS: 37 WAFA BEIJING KWA MVUA


    Mji mkuu wa China Bejing umekumbwa na mvua kubwa kuwahi kunyesha kwa miaka sitini. Watu 37 wameripotiwa kuuawa na mvua hiyo ambayo ilianza kunyesha Jumamosi alasiri na kuendelea hadi usiku wa manane. 
    Vyombo vya habari vya serikali vimesema kuwa barabara nyingi kubwa zimefurika maji, na watu zaidi ya 80,000 walikuwa wamekwama kwenye uwanja mkuu wa ndege mjini Beijing. Serikali imetoa tahadhari kuwa mvua hiyo inaweza kuendelea hadi leo, Jumatatu.

    No comments:

    3500K