Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano
la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo Julai
26, 2012 jijini Arusha. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa ‘International Diabetes
Federation’, Jean-Claude Mbanya, baada
ya kumaliza hotuba yake wakati akifungua
rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza
leo Julai 26, 2012 jijini Arusha. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya watoto wanaishi na ugonjwa wa
Kisukari kutoka Mataifa mbalimbali ya Afrika, wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi
wa Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza
leo Julai 26, 2012 jijini Arusha. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na watoto waishio na
ugonjwa wa kisukari, baada ya kufungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa
wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo Julai 26, 2012 jijini Arusha.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamanao
hilo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment