• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, July 27, 2012

    Esther Bukuku.al video


    •  HAYA NDIO MANENO YA MWIMBAJI WA NYIMBO ZAINJILI ESTHER BUKUKU

      Habari yako Filex,naamini u mzima wa afya njema

    • kwa upande wangu nina mshukuru sana MUNGU amekua mwema sana kwang

    • pia namshukuru kwa kunipa Huduma hii ya uimbaji

    • tangu nilipo anza amekua pamoja nami hajawahi niacha, mnamo mwaka 2011 mwezi wa nane nimefanikiwa kuzindua Albam yenye nyimbo ntisa inayo kwenda kwa jina la

    • WATESI WANGU

       

       

      • ambayo inapatikana madukani DVD, NA AUDIO CD

      • hii yote nia na lengo ni watu kuipata injiri wa urahisi na kuifahamu kweli ya MUNGU

      • PIA NIMEKUA NIKUFANYA HUDUMA SEHEMU MBALI MBALI HAPA NDANI NA NCHI JIRANI YA kENYA

      • mungu akubariki


    No comments:

    3500K