• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, July 23, 2012

    RUSSIAN FOOTBALL NEWS: ANZHI YAKANA KUWATAKA SNEIJDER NA MAICON


    Klabu ya Anzhi Makhachkala imeyakataa madai kuwa inataka kuwasajili kwa mkupuo Sneidjer na Maico kutoka Inter Milan.
    Itakumbukwa Anzhi walimsajili Samuel Eto’o mwaka uliopita akitokea Nerrazuri 
    "In connection with the rumours in numerous media outlets that Anzhi are in negotiations with Wesley Sneijder and Maicon, we would like to report that this information is completely unfounded, The club have not been conducting any negotiations for the transition of these players to our team.," an Anzhi statement read.
    Jana Jumapili Anzhi imejipatia ushindi wa kwanza kwa kuitandika Kuban Krasnodar 2-1 katika ufunguzi wa Ligi nchini Urusi pia Eto’o akifungua dakika 31 akisawazisha bao la kujifunga kupitia mchezaji wao Joao Carlos

    No comments:

    3500K