GLOBAL POLITICAL NEWS: WAASI NCHINI SYRIA WAPATA MIZINGA YA ANGANI filex 7:12:00 AM Waasi wanaopigana kuuondoa madarakani utawala wa Rais Bashar al Assad wa Syria kwa mara ya kwanza wamepata silaha za mizinga ya kuru... Read more No comments:
50 CENT ATANGAZA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE. filex 9:16:00 AM . Mkali wa Hip Hop kutoka Gorrila Unit 50 cent a.k.a Fifi ametangaza tarehe ambayo ataachia album yake inayoitwa “Street King Imm... Read more No comments:
Mshindi wa TUSKER PROJECT FAME 2012 ni RUTH kutoka NAIROBI-KENYA filex 1:09:00 PM Pichani: Ruth mshindi wa kwanza Age: 26 Years Old Country: Kenya I am a 26 year old lady born in the West... Read more No comments:
KINGS YA RICK ROSS, PATA ZAKE LYRICS: filex 1:03:00 PM THE LYRICS: Yeah, classic hip hop shit Dr D-R-E, Rozay and Jay Lets get ‘em We started out mopping floors Now we front row at... Read more No comments:
POLISI YATAKA VIJANA KUACHA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA filex 6:54:00 PM Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limetoa wito kwa wakazi wake kuachana na vitendo vya matumizi ya dawa za kulevya kwani huko ni nyum... Read more No comments:
LIGUE I PRE-SEASON NEWS: LYON WAITANDIKA MONTEPELLIER OLYMPIQUE LYON imeitandika kwa penati Montepellier na kuchukua Trophee des Champions kwa penati 4-2 baada ya kumaliza kwa sare ya 2-2. Mechi hiyo imechezwa katika uwanja wa Red Bull Arena , katika Jimbo la New Jersey nchini Marekani. John Utaka alikuwa wa Kwanza kuipatia bao timu yake ya Lyon katika dakika ya 27, muda mchache tu kabla ya mapumziko B filex 6:51:00 PM LIGUE I PRE-SEASON NEWS: LYON WAITANDIKA MONTEPELLIER OLYMPIQUE LYON imeitandika kwa penati Montepellier na kuchukua Trophee des... Read more No comments:
Hemed Asema"Nishatembea na Wanawake Mastaa Kama 32 Hivi" filex 6:21:00 PM Kwanza kwa kuanza ningependa kumshukuru Hemed suleiman kwa kuwa mmoja kati ya wavaaji wazuri wa Single buttons ninazozitengeza...... Read more No comments:
Esther Bukuku.al video filex 4:34:00 PM HAYA NDIO MANENO YA MWIMBAJI WA NYIMBO ZAINJILI ESTHER BUKUKU Habari yako Filex,naamini u mzima wa afya njema kwa upande wangu ... Read more No comments:
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANAO LA KWANZA KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI KWA NCHI ZA AFRIKA, JIJINI ARUSHA LEO filex 1:27:00 PM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kon... Read more No comments:
KUMEKUCHA TAMASHA LA CHAGGA DAY filex 1:20:00 PM BENDI zenye ushindani mkubwa nchi za Twanga Pepeta na Msondo Ngoma zinatarajiwa kupiga shoo ya aina yake kwenye tamasha la siku ya Wac... Read more No comments:
Alicho andika Chamelion kwa facebook yake baada ya Shigongo kuachia passport yake filex 1:18:00 PM Read more No comments:
Linex - Aifola (Official Video) filex 12:58:00 PM July 25 2012 imeingia kwenye kumbukumbu za Mwimbaji Linex kwa kutoa video yake mpya yenye gharama ya zaidi ya milioni 7 za kibongo, ni vid... Read more No comments:
Diamond Aongelea Issue ya mtu Kujitokeza na Kusema ni Baba Yake filex 12:49:00 PM Baada ya stori kuandikwa kwenye magazeti kwamba Staa Diamond Platnums anadaiwa kumtelekeza baba yake na hamjali wala hataki kus... Read more No comments:
Bongo Flava: Msanii Mwingine Mkongwe wa Bongo Flava Kuwania Ubunge 2015 Hivi sasa tunaona wimbi la wasanii wa musiki hasa Bongo flava kujiingiza katika Siasa ,Mfano mzuri ni Mwanamuziki Mkongwe Sugu ambaye ni mbuge wa Mbeya Mjini na wengine wengi ambao wako katika uongozi Sehemu mbali mbali, Msanii mwingine mkongwe Afande Sele nae Ametangaza nia ya kuwania Ubunge 2015 japo bado hajasema chama atakacho kuwa ila amesema ni kati ya Chadema ama Cuf .Amesema anavutiwa na wabunge Vijana kama Zitto Kabwe na Halima Mdee. filex 12:46:00 PM Hivi sasa tunaona wimbi la wasanii wa musiki hasa Bongo flava kujiingiza katika Siasa ,Mfano mzuri ni Mwanamuziki Mkongwe Sugu ... Read more No comments: