Taarifa ya Jeshi limesema
vitendo vya matumizi ya dawa za kulevya kama bangi , na cocaine vinarudisha
nyuma maendeleo.
Hayo yanajiri wakati Vijana wawili
waliofahamika kwa jina la Venance Joseph (26) na Daniel Felix ( 27) kukamatwa
na gramu 30 za banghi na hatua za
kuwafikisha mahakamni zinafanyika.
No comments:
Post a Comment