NGOMA MPYA KUTOKA KUNDI LA CHAMBER SQUAD filex 10:15:00 AM Mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Chamber Squad Ngwair, wasanii wengine ni kama Noorah,Mez B na Dark Master.. .SIKILIZA ngoma yao... Read more No comments:
Walter Chillambo aula Mil. 50 kwenye shindano la EBSS filex 10:08:00 AM Akikabidhiwa zigo lake la ela Akamkumbatia vyema Madam Ritha Hapo washiriki wawili walipokuwa wakisikilizia majibu ya... Read more No comments:
Filex Mmari music MWASITI ASEMA SABABU YA KURUDIA WIMBO ULIOIMBWA NA AMINI 'YAMETEKA DUNIA' filex 8:04:00 PM Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT ameeleza sababu ya kurudia wimbo uliowahi kuimbwa na Amini 'Yameteka Dunia'..MSIKILIZ... Read more No comments:
DIAMOND AFANYA NGOMA MPYA NA DULLY "UTAMU" filex 2:40:00 PM Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Diamond wa wasafi baada ya kuachia ngoma yake mpya inayofahamika kwa jina la Nataka kulewa sasa Late... Read more No comments:
A.Y AONGELEA KUHUSU MAFANIKO YAKE MWAKANI filex 2:33:00 PM Msanii wa Bong Fleva almaarufu kama A.Y baada ya kutoa ngoma yake inayofahamika kwa jina la Money Money aliyofanya na mwanadada V... Read more No comments:
FAHAMU ZAIDI KUHUSU CHIDY BENZ,HISTORIA YAKE NA PROF J,KUNDI LAKE LA LAFAMILIA NA KITU GANI ANATAKA KUFANYA SASA filex 12:00:00 PM Chidy Benz Msikilize Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Chidy Benz anayewakilisha kundi lake la Lafamilia katika Spotlightya Powerjams East ... Read more No comments:
NGOMA MPYA KUTOKA KWA MSANII MPYA WA KIKE filex 11:49:00 AM Anaitwa Candy nimepata ngoma yake kutoka NK Production,studio flani ziko mitaa ya Mikocheni...SIKILIZA ngoma ya mwanadada hapo chini halfu... Read more No comments:
LORD EYES WA NAKO2NAKO KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI filex 11:45:00 AM Msanii wa kundi la N2N Lord Eyes Msanii wa kundi la Nako2Nako Lord Eyes ambaye hivi karibuni anatuhumiwa kuhusika na wizi wa vif... Read more No comments:
habari za kitaani na Filex Mmari WAKAMATWA WAKIWA WAMENASIANA WAKIFANYA MAPENZI HUKO TEMEKE DAR : filex 7:18:00 PM Watu wawili wamekutwa wamegandiana kutokana na kuvunja amri ya sita (kufanya mapenzi) kwenye gesti moja huko temeke jijini dar es salaam... Read more No comments:
Filex Mmari newz KINGWENDU AWALIPUA LULU NA KANUMBA. filex 6:13:00 PM Bingwa filamu za vichekesho hapa nchini, Kingwendu amesema tabia za uongo zilizokithiri miongoni mwa wasanii wa kibongo imekuwa ker... Read more No comments:
OMMY DIMPOZ KUFANYA BOONGE LA TOUR MAREKANI filex 4:59:00 PM MKURUGENZI MTENDAJI WA MAKAMPUNI YA DMK GLOBAL PROMOTIONS & NORTHERNZONE ENT YENYE MATAWI USA ,UK & TZ, MR DICKSON MKAMA ... Read more No comments:
Diamond Awatapeli Models Waliochaguliwa kwa Mchujo Waambulia Elfu Kumi kumi filex 3:19:00 PM Katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM Segment You-Heard Amepigiwa Simu Model mmoja wapo Ambae alichaguliwa katika ule mchakato ul... Read more No comments:
KUTOKA KENYA MSIKILIZE MSANII JUA KALI AKIZUNGUMZA KUHUSU USHINDI WA OBAMA filex 2:14:00 PM Read more No comments:
ALICHOKISEMA FID Q JANA KUHUSU USHINDI WA BARACK OBAMA filex 2:09:00 PM Fid Q ni kati ya wasanii ambao walitwit kuhusu Ushindi wa Barack Obama msikilize hapo akizungumza kuhusu ushindi wa Obama na ni kitu gani... Read more No comments: