• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, November 8, 2012

    KINGWENDU AWALIPUA LULU NA KANUMBA.



    Bingwa filamu za vichekesho hapa nchini, Kingwendu amesema tabia za uongo zilizokithiri miongoni mwa wasanii wa kibongo imekuwa kero. Akichangia mada ya “Uongo” ndani ya kipindi cha Action & Cut cha Channel Ten hivi karibuni, Kingwendu alisema hata muigizaji Lulu (Elizabeth Michael) kesi yake imezingirwa na utata wa umri kutokana na kile kile alichokiita uongo wa wasanii wa kibongo. “Mtu kwenye kadi ya benki jina lingine umri mwingine, kadi ya kupigia kura jina lingine umri mwingine, leseni ya kuendeshea gari jina lingine umri mwingine, what is this?” alishangaa Kingwendu.
    Kingwendu alisema hata kwenye kumiliki vitu wasanii wengi hawasemi ukweli ndio hata maana kwa marehemu KANUMBA kulikua kuna utata  mwingi juu ya mali  alizoziacha. Msanii  huyo aliwataka wasanii kuwa wakweli  kuanzia kwenye majina umri na mali wanazomiliki ili kuondoa utata:::Filex Mmari newz kitaani.

    No comments:

    3500K