• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, November 8, 2012

    Diamond Awatapeli Models Waliochaguliwa kwa Mchujo Waambulia Elfu Kumi kumi



    Katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM Segment You-Heard Amepigiwa Simu Model mmoja wapo Ambae alichaguliwa katika ule mchakato uliofanywa na Diamond pale Nyumbani Lounge wa kuchagua Models watakao shiriki katika Video ya Nataka Kulewa ambayo ilifanyika Jana ..Model huyu Amesema toka wachaguliwe wamekuwa wakienda ofisi za I-View ambapo ndio wahusika wa video hiyo Bila kupewa chochote na kushinda na Njoo, Mbaya zaidi ni Hapo Jana ambapo video ilifanyika na kuambulia Kupewa Shilingi Elfu kumi Kila Mmoja ...Nadhani Hapa Diamond ana Tuhuma Za kujibu ili awake mambo sawa ..Binti Alie Ongea na Clouds Fm ameongea kwa Uchungu Sana....

    No comments:

    3500K