• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, November 9, 2012

    FAHAMU ZAIDI KUHUSU CHIDY BENZ,HISTORIA YAKE NA PROF J,KUNDI LAKE LA LAFAMILIA NA KITU GANI ANATAKA KUFANYA SASA

    Chidy Benz Msikilize Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Chidy Benz anayewakilisha kundi lake la Lafamilia katika Spotlightya Powerjams East Africa Radio ufahamu kuhusu mishemishe alizopitia mpaka kusikika,historia ya maisha yake,tuzo alizonazo,Kundi lake la Lafamilia na wasanii maarufu ambao washapita kwenye kundi hilo, uhusiano wake na Prof Jay uko vipi na kitu gani anataka kufanya katika muziki hivi sasa

    No comments:

    3500K