Bongo Flava: Msanii Mwingine Mkongwe wa Bongo Flava Kuwania Ubunge 2015 Hivi sasa tunaona wimbi la wasanii wa musiki hasa Bongo flava kujiingiza katika Siasa ,Mfano mzuri ni Mwanamuziki Mkongwe Sugu ambaye ni mbuge wa Mbeya Mjini na wengine wengi ambao wako katika uongozi Sehemu mbali mbali, Msanii mwingine mkongwe Afande Sele nae Ametangaza nia ya kuwania Ubunge 2015 japo bado hajasema chama atakacho kuwa ila amesema ni kati ya Chadema ama Cuf .Amesema anavutiwa na wabunge Vijana kama Zitto Kabwe na Halima Mdee.
filex
12:46:00 PM
Hivi sasa tunaona wimbi la wasanii wa musiki hasa Bongo flava kujiingiza katika Siasa ,Mfano mzuri ni Mwanamuziki Mkongwe Sugu ...