Makundi
ya Klabu Bingwa barani Ulaya yamepangwa jana Jijini Monaco, huku
ikishuhudiwa vigogo wote wa Soka barani humo kutengwa katika makundi
tofauti.
Vigogo wa Soka Chelsea, Man United, Real Madrid, Barcelona na Juventus wakipangwa makundi tofauti. Katika “draw” kundi D
limeonekana mapema kuwa nikundi la Kifo kufuatia mabingwa wa Ligi kuu
msimu wa 2011/2012 katika ligi kuu 4 tofauti barani humo kuwekwa kundi
moja. Kundi D limewajumuisha Real Madrid (Hispania), Man City (England),
Ajax (Uholanzi) na Borrusia Dortmund (Ujerumani).
KUNDI A
- FC Porto
- Dynamo Kiev
- PSG
- Dinamo Zagreb
KUNDI B
- Arsenal
- Schalke 04
- Olympiakos
- Montepellier
KUNDI C
- AC Milan
- Zenit St. Petersburg
- Anderlecht
- Malaga
KUNDI D
- Real Madrid
- Man City
- Ajax
KUNDI E
- Chelsea
- Shakhtar Donetsk
- Juventus
- Nordsjaelland
KUNDI F
- Bayern Munich
- Valencia
- LOSC Lille
- BATE Borisov
KUNDI G
- Barcelona
- Benfica
- Spartak Moscow
- Celtic
KUNDI H
- Manchester UTD
- Braga
- Galatasaray
- CFR Cluj
No comments:
Post a Comment