Ni kitambo kirefu sana nimekuwa kimya kutokana na maswala ya shule
ila sasa kidogo nimetulia. NImeamua kuuachia wimbo huu unaitwa ROHO
MBAYA ambao nimewashirikisha BELLE 9 na PIPI kama zawadi yangu kwa fans
wangu, lakini official single ya mwaka huu inafuata siku si nyingi.
wimbo huu beat ilifanywa na Duke wa M-Lab na vocals zilifanywa na Tetemesha Records mwaka juzi.
Tegemeeni mengi mazuri kutoka kwangu kwa mwaka huu.
No comments:
Post a Comment