OFISI YA KAMANDA WA POLISI WILAYANI MBOZI OCD IMETEKETEZWA KWA MOTO NA WATU
WASIO FAHAMIKA MWISHONI MWA WIKI ILIYOPITA AMBAPO NYARAKA MUHIMU ZILIZOMO
NDANI YA KOMPYUTA NA ZILE ZILIZOHIFADHIWA KATIKA MAFAILI ZIKIWA NI KATI YA
ZILIZOHARIBIWA KWA MOTO.
TAARIFA RASMI ZA KUTEKETEZWA KWA NYARAKA HIZO ZILIUFIKIA MTANDAO HUU AMBAPO
MTOA TAARIFA ALIDAI KUWA ZIPO BAADHI YA NYARAKA MUHIMU ZA KIUTENDAJI
ZIKIWEMO ZINAZOHUSU KESI MBALIMBALI ZILIZOPO KATIKA HATUA YA AWALI YA
UPELELEZI AMBAZO ZIMETEKETEA KWA MOTO.
No comments:
Post a Comment