Maelefu wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa hadhara wa CCM unaofanyika
jioni hii kwenye VIwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo
ni wa kuwapongeza viongozi wa mashina na matawi waliochaguliwa katika
uchaguzi wa CCM ulifanyika kwa ngazi hizo mkoani Dar es Salaam.
Maelefu wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa hadhara wa CCM unaofanyika
jioni hii kwenye VIwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo
ni wa kuwapongeza viongozi wa mashina na matawi waliochaguliwa katika
uchaguzi wa CCM ulifanyika kwa ngazi hizo mkoani Dar es Sal
No comments:
Post a Comment