May
ya mwaka huu kulisikika habari za kuibiwa kwa gari la mwimbaji wa
Taarabu Malkia Khadija Kopa ambalo lilikuwa aina ya Noah lililokuwa
limelazwa sehemu ya kupaki magari kwa kulipia. Gari hilo lililoibiwa
maeneo ya Mwananyamala pamoja na magari mengine liliweza kukamatwa mjini
Moshi likiwa limepakiwa nyumbani kwa mtu huku likiwa limeng'olewa rim
zote huku likiwa limewekwa rehani na mtu ambaye alilinunua gari hilo,
taarifa zaidi
zinadai kuwa jambazi aliekamatwa na kuhusika na wizi
huo anafahamika kwa jina la Ringo na anashikiliwa na polisi pia akiwa
amekamatwa na magari mengine matatu.
Wednesday, June 20, 2012
Home
Unlabelled
MTU ALIYEMWIBIA GARI KHADIJA KOPA AKAMATWA,!!
No comments:
Post a Comment