Dogo Janja akifanya shopping filex 5:45:00 PMvideo ya dogo janja akifanya shopping Read more No comments:
Mwana FA atangaza Vita na Wezi “Next time nikikuta watu wanapiga mwizi na mtu akanizuia nisishiriki ntaanza na yeye kwanza” ni tweet ya jana ya Hamisi Mwinjuma aka MwanaFA iliyokuwa imeambatanishwa na picha ya gari lake lenye namba T 809 PMB ikiwa imenyofolewa taa zote za mbele na nyuma. Wizi huo umefanyika usiku wa kuamkia jana na inavyoekena ni kuwa wezi walipanda na kuvuka geti kimya kimya, kwa raha zao wakanyofoa taa na kuingia ndani kuchukua radio. Ile MwanaFA kuamka asubuhi ndo akakuta tayari wajanja wameshamliza kiasi cha kuamua kutangaza vita na wezi. Hivyo kama ukikuta MwanaFA anashiriki kumponda ‘vitofa’ mwizi aliyekamatwa street baada ya kuiba, kamwe usishangae, usimuulize na usimzuie sababu ataanza na wewe! Pole sana Binamu! Hata hivyo wezi hao hawaikuiharibu ratiba ya usiku wa kuamkia leo ya Binamu. Ratiba yake ilianzia pale the so-called ‘Uwanja wa taifa wa burudani’ Dar Live ambapo aliperform ngoma yake mpya Ameen kwa mara ya kwanza. Baada ya Dar Live show ikahamia Maisha Club, “Dar Live Done..Beautiful..Maishani Sasa Kwa Ndege Mnana,” alitweet. Huko New Maisha Club alienda kumpa support mwanadada Linah Sanga aliyekuwa akifanya show yake ya kwanza tangu arudi kutoka kwenye ziara ndefu ya nchini Marekani. “What a show..Maisha I Loooooooooved you tonite!” aliandika alfajiri hii. filex 5:43:00 PM Mwana FA atangaza Vita na Wezi “Next time nikikuta watu wanapiga mwizi na mtu akanizuia nisishiriki ntaanza na... Read more No comments:
Mtambue Mtu aliye Nyuma ya Mafanikio ya Diamond! filex 5:42:00 PM Ulishajiuliza kwanini Diamond yuko smart sana kwa namna anavyozipeleka issue zake za muziki? Hushangai iweje msaniii huyu ambay... Read more No comments:
Baada ya kupata mtoto,Mr. Blue aongeza speed kumalizia mjengo wake filex 5:41:00 PM Wiki iliyopita msanii wa kizazi kipya, maarufu sana nchini Herry Sameer aka Mr.Blue alijaaliwa kupata mtoto wa kiume aliyezaa n... Read more No comments:
Dogo Asley ft Chege - Umbea by (FILEX MMARI )(VIDEO) filex 5:31:00 PMDownload nyimbo ya dogo asley ft chege nyimbo inaenda kwa jina la UMBEA If u want watch yhis video click on video Read more No comments:
Dogo Sheby ft. Dogo Janja - Kusoma (Filex Mmari) video filex 5:23:00 PMDownload nyimbo mpya ya Dogo Sheby ft Dogo janja nyimbo inaenda kwa jina la KUSOMA If u want watch this video click on video Read more No comments:
Maswali ya Polisi - D.N.A OFFICIAL VIDEO (filex mmari) filex 5:10:00 PMDownload nyimbo ya D.N.A MPYA hapa hapa the filexmmari1994.blogspot.com if u want watch tis video click on video Read more No comments:
WADAU WALIA NA KIINGEREZA, UZUNGU KWENYE FILAMU ZA KITANZANIA filex 5:07:00 PM Msanii wa filamu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Filamu cha Tanzania Film Training Centre (TFTC) Emm... Read more No comments:
Download nyimbo ya belle 9 -Amerudi (FILEX MMARI) VIDEO filex 8:53:00 PM Download nyimbo ya belle9-Amerudi hapa hapa the filexmmari1994.blogspot.com Read more No comments:
DIVA AMTAJA KIDUME ALIYEMUIMBIA NYIMBO,SOMA ALICHO KIANDIKA MWENYEWE HAPA filex 8:03:00 PM ZUSHENI TU ILA HUYU NDIO NIMEMUIMBIA PIGA SIMU FT DIAMOND So after kusema nina boyfriend basi kila m... Read more No comments:
MRISHO NGASSA ATUA JANGWANI filex 10:07:00 AM Mrisho Ngassa. KIUNGO wa Azam FC, Mrisho Ngassa, jana Alhamisi alitua makao makuu ya klabu ya Yan... Read more No comments:
TANZANIA SOCIAL NEWS: VYUO60 KUSHIRIKI MAONYESHO YA HUDUMA JIJINI ARUSHA filex 10:01:00 AM V yuo vikuu 60 zikiwemo taasisi za elimu ya juu na wadau wa vifaa mbalimbali vya elimu kutoka nchi za Af... Read more No comments:
Godzilla_ft_Marco_Chali_Nataka.mp3 filex 2:43:00 PMdownload nyimbo ya godzilla na marco chall bonyeza hapa chini I'm listening to Godzilla_ft_Marco_Chali_Nataka.mp3 in Hulkshare: Read more No comments:
Hermy B Awataka Wasanii Nchini Kuwa na Umoja ili Kupata Haki Yao filex 2:27:00 PM Producer na mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya B’Hits Music Group Limited, Hermes Tarimo aka Hermy B amesema kama wasanii nchini ... Read more No comments:
Gazeti:Wolper awindwa alishwe sumu filex 2:22:00 PM Imefahamika kuwa kuna kundi la watu linamuwinda kwa udi na uvumba mwigizaji Jacqueline Masawe ‘Wolper’ kwa dhumuni la kumlisha... Read more No comments:
Uchambuzi: Tusker Project Fame 2012 Tanzania Yaongoza Kwa Wasanii Wabovu filex 2:21:00 PM Damian Mshiriki wa Mwisho kutoka Tanzania alie tolewa Jana Usiku... Let’s face it! Pamoja na kuwa mashindano ya mwaka huu ya Tu... Read more No comments:
Mama Wema ajificha... filex 2:18:00 PM Takribani saa 18 tangu alipotamba runingani akimnadi mwanaye kuwa mambo safi, mama mzazi wa Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu ame... Read more No comments: