Si unajua kuna lile sakata la jina Simba ambalo Diamond amekuwa akilitumia
na Mr Blue hivi karibuni kudai alilianzisha yeye?
Na sasa issue hiyo inaenda mbali zaidi. Wema ametumia Instagram kuingia pia
kwenye issue hiyo katika njia ambayo inaishia kuwa dongo kwa ex wake.
“Watu walikuwa wanasubiria na mimi nitaje jina langu la mnyama… Mi ni
Mnyama Ndio na Jina Langu ni WEMA SEPETU…. Gnyt Y’all…. Langu mwenyewe
hilo…. Ila Balozi Kasema…. hihihihihi,” aliandika Wema.
Bila shaka bado hujaiona diss! Acha tukusanue.
No comments:
Post a Comment