Na ndio maana weekend hii, muimbaji huyo wa Mwana aliukaribisha mwaka mpya
2016 kwa kuvuta nyomi huko Machakos.
“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji
wake ameiambia Bongo5.
“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana
na familia yake.
To the extent possible under law,
Filex Mmari
has waived all copyright and related or neighboring rights to
blog.
This work is published from:
Tanzania, United Republic of.
No comments:
Post a Comment