Baada ya kutumikia Taifa kwa miaka 10 sasa, Rais Kikwete anatarajia
kumaliza muda wake hapo mwezi wa kumi, Mastaa kadhaa wameandika katika
mitandao ya kijamii kumuaga Rais Kikwete ambae pia ni mmoja wa mashabiki wa
Muziki wa Bongo Fleva.
Katika Mtandao wa Instagram Diamond Platnumz ameandika: "*Hakika Mh Rais
@jmkikwete alitukuta kuleee...sasa anatuacha hapa palipo juu zaidi...Dah!
Daima tutakukumbuka kwa mengi mema uliyotufanyia*".
Hakika Mh Rais @jmkikwete alitukuta kuleee...sasa anatuacha hapa palipo juu
zaidi...Dah! Daima tutakukumbuka kwa mengi mema uliyotufanyiađŸ˜Ÿ
— Diamond
No comments:
Post a Comment