*Baadhi ya wakazi wa Bunju wamevamia na kukichoma moto kituo cha polisi
Bunju A baada ya polisi kufyatua mabomu ya machozi na risasi za moto
kuwatawanya wananchi waliofunga barabara baada ya mwanafunzi mmjoa kugongwa
na gari na kufariki.*
*Polisi walilazimika kukimbia na gari lao baada ya kuona wananchi
wanawazidi nguvu kwa kurusha mawe na kukiacha kituo hicho bila ya ulinzi
ndipo wananchi walipokivamia kituo kuvunja milango na kuwatoa wahalifu
waliokuwa wakishikiliwa na kisha kukichoma mot
No comments:
Post a Comment