MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA KAHAMA JUMA PROTAS.
Msafara wa viongozi na wanachama wa chama Demokrasia na Maendeleo Chadema
wa Kanda ya ziwa Magharibi wametekwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi
wakati wakitoka kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za serikali za Mitaa
kata ya Bulyanhulu wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Kahama
No comments:
Post a Comment