Garry Neville enzi zake akichezea Manchester United
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Gary Neville amesema kuwa mchuano
kati ya timu yake ya jadi na Liverpool hapo Jumapili inalinganishwa na
mchezo kati ya "Mbwa au Bata na Simba Mwekundu".
Neville, wakati alipokuwa akifanya kazi na Sky Sports alifananisha mchuano
huo na mchezo wa baa.
Na pia alisema kuwa Machester United waliponea kushindwa na Southampton kwa
kuibuka washindi kwa 2 -1 jumatatu.
"anaweza kusema atakavyo kwani ni mkongwe lakini
kama mkongwe inafaa aelewe yale anayosema"
No comments:
Post a Comment