*MSANII* wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi amejikuta kwenye wakati
mgumu baada ya kutumika kwa utapeli kupitia namba yake ya simu.
*Msanii wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi.*
Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu, Snura alisema aliacha kutumia
namba ya awali kwa muda wa miezi miwili baada ya kupotea ambapo hivi
karibuni ndipo alipoanza kupata malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali
kwamba anawaomba fedha kwa madai kwamba mama yake anaumwa.
“Kuna mtu sijui alifanyaje mpaka akawa anaitumia hiyo namba kibaya zaidi
anatapeli watu hela na kujifanya ni mimi, imeniuma sana jamani
No comments:
Post a Comment