*MSANII* anayefanya vizuri katika filamu Bongo, Yusuf Mlela ambaye amekuwa
akidaiwa kutumia madawa ya kulevya maarufu kama unga, amesema utofauti wa
muonekano wake kwa sasa siyo kwa sababu ya uteja, bali inatokana na umri
wake kusogea.
*Msanii wa filamu Bongo, Yusuf Mlela.*
“Unajua mtu unavyozidi kukua na muonekano nao unabadilika, lakini itafikia
kipindi nitakuwa sawa tu hivyo naomba mashabiki wangu waelewe kwamba mimi
siyo teja na sijawahi kutumia ‘unga’ hizo ni habari za kizushi tu,”alisema
Mlela
No comments:
Post a Comment