*LEGENDARY* wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ amesema kuwa, miongoni
mwa vitu ambavyo vimemkalia kushoto ni kusherehekea siku yake ya kuzaliwa
kwa kufanya sherehe, yeye siku zote hufanyia kanisani kwa kufanya maombi.
* Legendary wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’*
Msanii huyo ambaye siku chache zilizopita alitimiza miaka kadhaa ambayo
hakuwa tayari kuiweka wazi, alisema haoni umuhimu wa kupoteza fedha kwa
kufanya sherehe kubwa katika siku yake ya kuzaliwa zaidi huwa anasali na
kumshukuru Mungu
No comments:
Post a Comment