Idris (kushoto) akiwa na Tayo (kulia)
Bilionea huyo aitwaye Ayiri Emami ameamua kuongeza dola 50,000 juu
zaidi ya ile ambayo ilitolewa na Biggie ambayo ni $300,000 kutokana na
kuwa shabiki mkubwa wa Tayo.Staa wa Nigeria Davido ameshare picha ya story hiyo Instagram na kuandika “we do this easy, bar dey” .
Inasemekana hii si mara ya kwanza kwa bilionea huyo kumwaga mkwanja mrefu kwa wasanii anaowapenda, aliwahi kufanya hivyo kwenye harusi ya 2Face 2010 ambapo inasemekana alitoa zaidi ya Naira milioni 20 ( sawa na zaidi ya Tsh 189,000,000) na kumzawadia Range Rover mpya, na pia alimzawadia msanii mwingine aitwaye Durella gari aina ya Toyota Prado Jeep
No comments:
Post a Comment