Wazee wa mgomo: WacheZaji wa Cameroon wakiwasilu kwa ndege eneo la Galeao
Aerial Base mjini Rio, tayari kushiriki Kombe la Dunia baada ya kusitisha
mgomo wao wa madai ya posho uliowafanya wachelewe kuondoka nchini kwao jana.
Alex Song akishuka kwenye pipa
Samuel Etoo naye huyooo akikanyaga Ardhi ya Brazil
To the extent possible under law,
Filex Mmari
has waived all copyright and related or neighboring rights to
blog.
This work is published from:
Tanzania, United Republic of.
No comments:
Post a Comment