Yasemekana msanii Salma jabu nisha ndio msanii wa kike anaye jiheshimu
kupita kiasi kwa mavazi yake na mashabiki wakimpenda kila siku na kuahidi
kumssuport kwa tabia yake hiyo na wanasema kweli yeye kioo cha jamii kwa
kuwa hana makundi na hana tabia ya kujibizana na watu kwenye mitandao
walipo ulizwa wasanii wenyewe walisema ni kweli Nisha ni msanii
anayehishimiwa sana sasa hivi mpaka mauzo yake yameongezeka mara dufu
sokoni mwenyew anasema namshukuru mungu kwa kila jambo.Huyu ndio Salma Jabu
ama Nisha
No comments:
Post a Comment