Sakata la mastaa wakiwemo Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupiga
picha chafu kisha kuzitundika mitandaoni limetinga bungeni baada ya
juzikati baadhi ya wabunge kulishupalia.
*Mastaa Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakiwa kwenye pozi la
kimahaba*
Hilo liliibuka Suzi mjengoni katika kipindi cha maswali na majibu ambapo
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Saidi Mtanda alitaka kujua hatua
zilizochukuliwa na serikali katika kukabiliana na tabia za watu maarufu
kupiga picha zisizo na maadili kisha kuziweka mtandaoni.
Katika kujibu swali hilo
No comments:
Post a Comment