Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.(Picha na GPL)
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameuweka njia panda uanachama
wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kukubali pingamizi lake la kuizuia
Kamati Kuu (CC) ya chama hicho isimjadili hadi kesi yake ya msingi
itakapokuwa imesikilizwa.
Kwa uamuzi huo, Zitto sasa atabaki kuwa mwanachama kwa nguvu ya mahakama hadi hapo itakapoamriwa vinginevyo.
Sasa Zitto ataungana na wabunge wenzake wawili, David Kafulila wa
Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi) na Hamad Rashid Mohammed wa Wawi (CUF)
ambao pia ubunge wao upo kwa nguvu ya mahakama.
Zitto alifungua kesi…
No comments:
Post a Comment