*Engineer Felchesmi Mramba*
*Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amemteua Engineer Felchesmi Mramba kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Umeme Tanzania (TANESCO). **Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam leo,
Jumatatu, Desemba 2, 2013, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Florens
Turuka inasema kuwa uteuzi huo umeanza leo hii.*
*Kabla ya uteuzi wake, Eng. Mramba alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Tanesco*
No comments:
Post a Comment