Msanii anaefahamika zaidi kwa mashairi tata, Nay Wamitego
huenda mwaka huu akawa amejiridhisha na kuondoa mashaka aliyokuwa nayo
kwa kile alichodai huenda Walter Chilambo hakupewa million 50 mwaka
jana.
Mkali huyo wa ‘Salam Zao’ alikuwa mmoja kati ya watanzania waliofatilia kwa karibu fainali za EBSS 2013 kupitia Television jumamosi (October 30), na kuandika kwenye Instagram kile kilichokuwa akikishuhudia.
Mbali na kuziangazia pesa ambazo alizishuhudia zikikabidhiwa kwa mshindi, The True Boy kama anavyojiita alikubali uwezo wa kuimba aliona Emmanuel Msuya aliyekuwa mshiriki kutoka Mwanza ambaye makazi yake ni mjini Musoma, Mara.
“Mshindi wa milioni 50 epiq bongo star sch.. Pesaaaaa izoooooo..!! Apo ndo anakabidhiwa na Ritah.!! Hahahaa jamaa anajua kuimba sanaaa...#966 #money#makers #team #nakula #ujana” Aliandika kwenye Instagram.

No comments:
Post a Comment