Rapper na Mjasiriamali Emannuel Simwinga aka Izzo Bizness hivi karibu
alipatwa hasara kubwa kwenye Internet Cafe iliyopo Mkoani Mbeya,baada ya
wezi kuvunja na kuiba vifaa vya internet Cafe vikiwemo computer sita
zinazogharimu jumla ya shillingi za Tanzania 2,700,000.
Kupitia kwenye instagram amepost picha ya Internet Cafe na kuandika jinsi
alivyopokea taarifa za kuibiwa vifaa vyake na kuwataka wananchi wamsaidie.
* ' Leo ni siku mbaya sana kwangu na familia yangu pia nimepata taarifa za
kuvunjiwa na kuibiwa computer sita katika ofisi yangu iliyopo mbeya maeneo
ya chuo cha (TEKU)
No comments:
Post a Comment