*Shabiki aliyevaa kihasara akinengua jukwaani.*
* Khadija Yusuf akiimba.*
*Mzee Yusuf akinengua na mpiga gitaa wake.*
* …Akiwaimbisha mashabiki.*
* Mashabiki wakiserebuka kivyao.*
* Shabiki akijimwaya.*
* Kijana aliyetuhumiwa kukwapua pochi akiwa chini ya ulinzi na pochi
alilokwapua.*
*UKUMBI wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar
es Salaam, jana usiku ulifurika mashabiki katika onyesho la bendi ya
taarabu ya Jahazi inayoongozwa na staa Mzee Yusuf.*
* (PICHA ZOTE
NA ISSA MNALLY / GPL) *
No comments:
Post a Comment