*Kikosi cha Kilimanjaro Stars.*
Timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imetinga robo fainali
michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kuifunga Burundi bao 1-0 kwenye
mchezo uliopigwa Uwanja wa Nakuru nchini Kenya muda mfupi uliopita. Bao
pekee la Kilimanjaro Stars, limewekwa kimiani na mshambuliaji, Mbwana
Samatta dakika ya 7 ya mchezo.
No comments:
Post a Comment