chanzo theChoice
Hivi ndivyo paparazi wetu alivyomnasa tcha huyu wa sekondari mkoani Dodoma
akiuza kahawa mtaani ili kujinusuru na ukata wa maisha magumu ya kitaa,
''Leta chikompe kyako nkupe kyai kya mata na kyai kya kapyaru...au
kiguuju'' tcha jimmy:
Pia mwalimu huyo pamoja na shughuli zote za uwalimu na kuuza kahawa pia na
msanii anayefanya vizuri kwenye Game la music husasani mkoa wa Dodoma,
hembu sikiliza ngoma yake hapo chini
* SHUKA CHINI KUTOA MAONI *
No comments:
Post a Comment