*Mesut Ozil akiifungia Arsenal bao la kuongoza katika dakika ya 80 ya
mchezo.*
*Ozil akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kufunga bao.*
*Gerard Deulofeu wa Everton (kushoto) akishangilia bao la kusawazisha
dakika ya 81 ya mchezo.*
*Beki wa Arsenal Laurent Koscielny (kushoto) akijaribu kumzuia Steven
Pienaar wa Everton wakati wa mchezo huo.*
Timu ya Arsenal imeshikwa baada ya kutoka sare ya 1-1 na Everton katika
mechi ya Ligi Kuu England iliyopigwa Uwanja wa Emirates jijini London,
Uingereza hivi punde.
Bao la kuongoza la Arsenal limewekwa kimiani na Mesut Ozil dakika ya 80
No comments:
Post a Comment