*Hili ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati
Nelson Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia
kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya viongozi 70 wa mataifa
makubwa, kutoka pande zote za dunia wanatarajia kuhudhuria maziko hayo.*
To the extent possible under law,
Filex Mmari
has waived all copyright and related or neighboring rights to
blog.
This work is published from:
Tanzania, United Republic of.
No comments:
Post a Comment