*Binti akiwa na mshumaa wakati wa ibada ya maombi ya kumkumbuka Nelson
Mandela katika kanisa la Regina Mundi lililopo Soweto, Afrika Kusini leo.*
*Waumini wakiwa katika ibada ya maombi ya kumkumbuka Nelson Mandela katika
kanisa la Methodist mjini Johannesburg leo. (Picha na Reuters)*
*Wananchi wa Afrika Kusini leo wanashirki maombi ya kitaifa ya kumkumbuka
marehemu Nelson Mandela.*
*Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma atahudhuria maombi hayo katika kanisa la
Methodist mjini Johannesburg, wakishirikiana na viongozi wengine kutoka
dini mbalimbali kwa maombi yatakayofanyika siku nzima leo.
No comments:
Post a Comment